1 Thessalonians 5:23-24

23 aMungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo. 24 bYeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo.

Copyright information for SwhNEN